Wednesday, January 20, 2010

MISS UTALII DSM 2010

Washiriki wa fainali za kumpata Miss Utalii Tanzania 2009/2010 mkoa wa Dar Es Salaam,kutoka wilaya za Ilala,Temeke na Kinondoni wakiwa wameanza kambi ya mazoezi katika ukumbi wa Rain Bow Social Club Mbezi /Kawe Beach jijiniShindano la Miss Utalii Tanzania 2009/2010 fainali za mkoa wa Dar Es Salaam zitafanyika siku ya mkesha wa siku ya wapendanao,Jumamosi tarehe 13-2-2010 usiku katika ukumbi wa Rain Bow Social club uliopo Mbezi /Kawe beach Jijini.Washiriki wa shindano hilo ni pamoja na kutoka wilaya ya Temeke Erica Allan (Miss Utalii Temeke 2009/2010), Mariam Khamis (Mshindi wa pili), Zainabu Matagi (Mshindi wa Tatu)Shalbano Khameed (Miss Utalii Vipaji 2009/2010) Neema Simbo (Mshindi wa nne) na Saida Sima (Mshindi wa tano), Glory Mlay (Kumi Bora); kutoka wilaya ya Kinondoni ni Sophia Dio (Miss Utalii Kinondoni 2009/2010), Latifa Bakari mshindi wa pili na Miss Utalii Vipaji 2009/2010), Lulu Belo (Mshindi wa Tatu), Faraja Hassan (Mshindi wanne), Neema Mashala (Mshindi wa tano, Barke Mohamed (kumi bora), Sarah Shaaban (Kumi bora)na Martha Daniel (kumi Bora); kutoka wilaya ya Ilala ni Shaymaa Ntetema (Miss Utalii Ilala 2009/2010), Agatha Kilala (Mshindi wa Pili), Sheilla Bahamal (Mshindi wa Tatu), Jamida Ally (Mshindi wa Tano na Miss Utalii Vipaji 2009/2010), Tausi Thomas (Mshindi wanne), Janeth Samson (kumi Bora), Nazia Athony (Kumi Bora), Flora Nicholaus (Kumi Bora),Tike Laiton (Kumi Bora).

No comments:

Post a Comment