Monday, December 1, 2008

ZE ORIGINO KOMEDI NOMA !

Makamu wa Rais Dk Ali Mohamed Shein akiwa na wasanii wa maigizo wa kikundi cha za commed Original mara baada ya kulihutubia Taifa katika kilele cha maazimisho ya siku ya ukimwi Duniani yaliyofanyika leo Kitaifa kwenye Uwanja wa Lake Tanga nyika mjini Kigoma. Kauli mbiu ya mwaka huu ni Ongoza, Wezesha, Tekeleza mapambano zidi ya ukimwi.

No comments:

Post a Comment