Sunday, July 25, 2010

CHRISTIN JUSTIN NI MISS EXCELLENCY OPEN UNI. OF TANZANIA 2010

Mshindi wa shindano la Vodacom Miss Exellence Open Unirversity of Tanzania 2010 Christin Justin (kati) akiwa na washindi wengine kwenye shindano hilo usiku wa kuamkia leo kwenye kampas ya chuo hicho eneo la Biafra Kinondoni. Kushoto kwake ni mshindi wa tatu Jaquiline Mwombeki na kulia kwake ni mshindi wa pili Glory Mushi.
Tano bora

No comments:

Post a Comment