Saturday, July 3, 2010

MISS VODACOM KINONDONI 2010


Tano Bora na mshindi alikuwa ALICE LUSHIKU wa pili toka kulia vazi la bluu

Cheki hiyo miondoko ya vazi la jioni.

Hizo zote ni pozi tu wadau.
Sasa warembo wanapita na vazi la ufukweni.

Ubunifu wa vazi la kitenge kama unavyoona mdau.

Vazi la ubunifu pia.

Katika vazi la ubunifu.

Warembo katika shoo ya ufunguzi wa shindano hilo.

No comments:

Post a Comment