Saturday, July 10, 2010

GENEVIVA EMAMANUEL MISS VODACOM TEMEKE


Vodacom Miss Temeke 2010 Geneviva Emmanuel(KATI) akipungia mashabiki mkono mara baada ya kumtangaza mshindi wa shindano hilo lililofanyika usiku wa kuamkia leo kwenye viwanja vya TCC Sigara Chang'ombe jijini Dar es salaam kushoto ni mshindi wa pili Anna Daud na kulia ni mshindi wa tatu Britania Urasa, Mwenyekiti wa kamati ya Miss Temeke Bw. Benny Kisaka alisikika akisema hizi ndiyo pini za Miss Temeke zitakazo wakilisha shindano la taifa la Vodacom Miss Tanzania hapo baadae na tuna uhakika na pini hizi kwamba zitatikisa katika shindano hilo kubwa nchini na kushinda hatimaye kumpata Miss Tanzania kutoka TEMEKE

No comments:

Post a Comment