

Khadija Mwanamboka akimpa shada la maua mbunifu anayekuja juu kwa kasi Farha Sultan baada ya onesho la mwisho la Style Motomoto kwa mwaka huu katika hoteli ya Double Tree jijini Dar usiku wa kuamkia leo

Mbunifu mkali Kemi Kalikawe akitambulishwa baada ya bonge la show

Mwanamitindo na mlimbwende Irene Kiwia naye ni mbunifu hodari ambaye alionesha mitindo yake

Sehemu ya umati uliohudhuria

Vitu vya Farha Sultani

Modo katika mitindo ya Farha

Ubunifu wa Farha

Farha ana nguo kwa kila mtu

Makali ya Farha

Ushindwe wewe tu

Modo anayekuja juu kwa kasi akionesha mambo

Mtembeo wa mwisho wa mamodo na wabunifu

Khadija Mwanamboka akiwa na Raqey ambaye kampuni yake ya iView imefadhili Style Motomoto

Ubunifu wa hali ya juu

Wabunifu wakipita jukwaani

Professional MC Taji Liundi akiwa kazini

Irene Kiwia na modo katika mtindo ake

IView tena hahaaaa

Professional MC Taji Liundi akitambulisha wataalamu wa backstage waliofanikisha show hii na zote za Style Motomoto

Wadau wakifualitilia show

Wadau waliokuwepo pia

Fideline Ilanga (kulia) na wadau wakati wa show

Baadhi ya wadau waliofika kwenye show

Khadija Mwanamboka na Farha Sultani wakiwa na mdau na Shamim Zeze
No comments:
Post a Comment